NACTVET CAS Online Application 2026/2027

Mr.Izow
0

Mfumo wa Udahili wa Vyuo vya Afya na Sayansi Shirikishi kwa ngazi ya Certificate na Diploma umefunguliwa rasmi kwa mwaka wa masomo 2026/2027.


📌 Karibu kwenye Mfumo wa Udahili wa CAS

Tafadhali soma maelezo yote kwa umakini kabla ya kuanza kufanya maombi ya udahili kupitia mfumo wa Central Admission System (CAS).

Udahili unahusu:

Kozi za Certificate na Diploma katika vyuo vya Afya na Sayansi Shirikishi kwa mwaka wa masomo 2026/2027.
📅 Mwisho wa Maombi ya Awamu ya Kwanza:

10/07/2026

⚠️ Maelekezo Muhimu kwa Waombaji

  • Hakikisha una barua pepe (Email) inayofanya kazi pamoja na namba ya simu inayopatikana muda wote.
  • Chagua kozi unazozipenda kulingana na sifa ulizonazo.
  • Unaweza kuchagua hadi taasisi au kozi 12 tofauti.
  • Ada ya maombi ni Tsh 15,000 kwa taasisi moja na kiwango cha juu ni Tsh 45,000 kwa chaguo zote.
  • Baada ya kujisajili utapatiwa namba ya malipo (Control Number).
  • Malipo yanaweza kufanyika kupitia Mobile Money au Benki.
  • Soma kwa makini vigezo vya kujiunga kwenye kozi kabla ya kufanya uchaguzi wako.

📘 Admission Guidebook

Waombaji wote wanashauriwa kusoma kitabu cha mwongozo wa udahili ili kufahamu sifa na masharti ya kila kozi kabla ya kutuma maombi.


📝 Jinsi ya Kujiunga na Mfumo

Ikiwa ni mara yako ya kwanza kutumia mfumo huu, bofya link hapa chini kuanza maombi:

👉 Register Here

Ikiwa tayari umesajiliwa, ingia kwenye akaunti yako kupitia link hapa chini:

🔐 Login Here

Imetolewa na SMART EDUCATION TANZANIA

```

Chapisha Maoni

0 Maoni

Tafadhali Tuambie kupitia hapa

Chapisha Maoni (0)
3/related/default