Mfumo wa Kuandaa Matokeo ya Shule za Msingi
Mfumo wa kisasa wa Excel uliotengenezwa kwa ajili ya shule za msingi kurahisisha uandaaji wa matokeo ya wanafunzi.
💻 Kuhusu Mfumo
Mfumo huu umeandaliwa kwa ustadi mkubwa ili kusaidia walimu, wakuu wa shule na wasimamizi wa taaluma kuandaa matokeo kwa haraka, usahihi na muonekano wa kisasa zaidi.
Mfumo unafanya kazi kupitia Microsoft Excel kwenye computer au laptop, hivyo ni rahisi kutumia bila kuhitaji internet muda wote.
✔ Vipengele vya Mfumo
- Kuandaa matokeo ya wanafunzi kwa urahisi
- Automatic calculations za wastani, division na ranking
- Dashboard nzuri na rahisi kutumia
- Printable report cards
- Muonekano wa kisasa na wa kitaalamu
- Rahisi kutumia kwa walimu wote
💳 Gharama ya Mfumo
Tsh 2,000 Tu
📞 Mawasiliano
Kwa maelezo zaidi au kupata mfumo huu, wasiliana nasi kupitia WhatsApp:
Mfumo umeandaliwa na SMART EDUCATION TANZANIA


Tafadhali Tuambie kupitia hapa