TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 06-05-2026
Hatimaye na leo majina ya walioitwa kazini yametolewa Tena. Jumla ya PDF 3 tofauti zimetangazwa zikiwa na orodha kamili ya waombaji waliofanikiwa kuitwa kazini katika taasisi mbalimbali.
Ikiwa uliomba ajira, hii ni nafasi yako muhimu ya kuthibitisha kama jina lako limo kwenye orodha hizi mpya.
Pakua PDF Hapa Chini
Bonyeza link husika kupakua na kuangalia majina:
Tazama zote HAPA
Angalizo: Hakikisha unapakua PDF zote tatu kwani majina yamesambazwa kwenye mafaili tofauti.
Hatua Muhimu Baada ya Kuona Jina Lako
- Fuatilia maelekezo yaliyopo ndani ya PDF
- Andaa nyaraka zako muhimu
- Wasiliana na mamlaka husika kwa maelekezo zaidi
Jiunge na WhatsApp Channel Yetu
Pata taarifa za ajira kila siku mapema zaidi kwa kujiunga na channel yetu:
Tembelea: www.smarteducation.co.tz

Tafadhali Tuambie kupitia hapa