Chemistry Form Two Exam Series Solved February 2026 – Nitekela Secondary School

Mr.Izow
0

Chemistry Form Two Examination Series (Solved) – February 2026 | Nitekela Secondary School

Pakua Chemistry Form Two Examination Series (Solved) – February 2026 kutoka Nitekela Secondary School. Mtihani huu umeandaliwa kwa kuzingatia mtaala wa Tanzania na unafaa kwa mazoezi ya darasani, marudio binafsi na maandalizi ya mitihani ya kitaifa.

Faili hili lina maswali kamili ya mtihani pamoja na mwongozo wa majibu (marking scheme), unaosaidia wanafunzi na walimu katika kuboresha uelewa wa somo la Chemistry.

CHEMISTRY FORM TWO SATURDAY EXAMINATION SERIES
NITEKELA SECONDARY SCHOOL
FEBRUARY 2026

Pakua Mitihani (PDF Downloads)


Sample Maswali ya Mtihani

Swali la 9 (a)
Wanafunzi kumi wa Nitekela Secondary School walikuwa wakifanya jaribio la Chemistry maabara ambapo madirisha yalikuwa yamefungwa, hali iliyosababisha hewa kuwa finyu na baadhi ya wanafunzi kuathirika.

Taja hatua mbili (2) ambazo ungechukua kuokoa hali hiyo. (Alama 4)

(b) Elimu ya Chemistry huwasaidia wanafunzi kupata ujuzi wa kazi mbalimbali. Taja taaluma sita (6) zinazoweza kufanywa na mwanafunzi wa Chemistry. (Alama 3)

(c) Taja sifa tatu (3) za maabara bora ya Chemistry. (Alama 3)


Pata Mitihani Zaidi na Notes:
Jiunge na WhatsApp Channel ya Smart Education kwa updates za mitihani, notes na past papers.

👉 Jiunge na WhatsApp Channel

Endelea kufuatilia Smart Education Tanzania kwa mitihani ya Form One hadi Form Four, mock exams, notes na rasilimali za kujifunzia bure.

Chapisha Maoni

0 Maoni

Tafadhali Tuambie kupitia hapa

Chapisha Maoni (0)
3/related/default