Nafasi za Kazi Shirika la ndege Air Tanzania 2025



Ajira Mpya Air Tanzania (ATCL) 2026

Air Tanzania Company Limited (ATCL) limetangaza ajira mpya kwa Watanzania wenye sifa stahiki. ATCL ni shirika la ndege la umma linalotoa huduma za usafiri wa anga ndani na nje ya nchi, likiwa na dhamira ya kutoa huduma salama, bora na za kuaminika.

Orodha ya Nafasi za Kazi

S/NJina la TangazoIdadiMahaliMwisho
1Msaidizi Huduma za Upishi II5DSM12/01/2026
2Afisa Huduma za Upishi I4DSM12/01/2026
3Afisa Kumbukumbu II1DSM12/01/2026
4Afisa Rasilimali Watu II3DSM12/01/2026
5Afisa Utawala II1DSM12/01/2026
6Msaidizi Uhasibu II1DSM12/01/2026
7Afisa Uhasibu II2DSM12/01/2026
8Mhasibu II5DSM12/01/2026
9Dereva II4DSM12/01/2026
10Msaidizi Ununuzi II5DSM12/01/2026

Jinsi ya Kutuma Maombi

Maombi yote yawasilishwe kupitia mfumo wa ajira wa ATCL:
https://recruitment.atcl.co.tz

Mwisho wa maombi: 12 Januari, 2026.

Ni waombaji walioteuliwa pekee ndio watakaopata taarifa za usaili. Maombi yatakayowasilishwa nje ya mfumo hayatazingatiwa.

Previous Post Next Post

نموذج الاتصال