TANGAZO LA KUITWA KAZINI (JOB PLACEMENT ANNOUNCEMENT)
Katibu wa Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) anapenda kuwataarifu waombaji wa ajira mbalimbali waliofanya usaili katika kipindi cha tarehe 25 Aprili 2025 hadi 14 Februari 2026 kuwa matokeo ya waombaji waliofanikiwa ni kama yalivyoainishwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina pia inajumuisha baadhi ya waombaji waliokuwapo tayari kwenye Database ya kada mbalimbali na ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
📌 MUHIMU KWA WAOMBAJI WALIOFANIKIWA
Waombaji wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi watapata Barua za Kuitwa Kazini (Job Placement Letters) kupitia akaunti zao kwenye Recruitment Portal chini ya sehemu ya “My Applications”.
Waombaji wanatakiwa kupakua (Download), kuchapisha (Print) barua hizo na kuripoti kwa waajiri waliopangiwa kama ilivyoainishwa kwenye barua.
📄 MAHITAJI YA KURIPOTI KAZINI
Waombaji waliofanikiwa wanapaswa kuripoti kwa waajiri wao ndani ya muda uliobainishwa, wakiwa na vyeti halisi (Original Certificates) kwa ajili ya uhakiki kabla ya kupewa Barua za Ajira (Employment Letters).
Kwa waombaji ambao majina yao hayapo kwenye tangazo hili, waelewe kuwa hawakufaulu usaili. Hata hivyo, wanahimizwa kuendelea kuomba ajira pindi nafasi mpya zitakapotangazwa.
📥 PAKUA PDF ZA ORODHA YA MAJINA
- 📄 Download PDF 1 – Tangazo la Kuitwa Kazini No. 99
- 📄 Download PDF 2 – Tangazo la Kuitwa Kazini No. 100
- 📄 Download PDF 3 – Tangazo la Kuitwa Kazini No. 101
🔔 Endelea kufuatilia Smart Education Tanzania kwa taarifa zote za Ajira, Matokeo, Nafasi za Masomo na Elimu kwa ujumla.

Post a Comment
Tafadhali Tuambie kupitia hapa