![]() |
Notes za Falsafa ya Elimu
Falsafa ya Elimu ni somo linalochunguza misingi ya elimu, maadili na malengo yake. Notes hizi zimekusanya mambo muhimu kwa wanafunzi, walimu na wapenzi wa taaluma ya elimu.
Maudhui Yaliyojumuishwa
- Maana na Chimbuko la Falsafa ya Elimu
- Nadharia Kuu na Wanafalsafa Maarufu
- Umuhimu wa Falsafa katika Ufundishaji na Ujifunzaji
- Mifano ya Matumizi katika Shule na Vyuo
Soma Notes Zote: Pakua au soma moja kwa moja mtandaoni
📝 Imetayarishwa na Smart Education kwa ajili ya walimu, wanafunzi na wadau wa elimu.

