banner

Matokeo ya Usaili wa Kuandika | Tarehe 26/09/2025

 

Maelekezo kwa Wasailiwa Waliochaguliwa

Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua ya mahojiano wanatakiwa kuzingatia kwa umakini ratiba, muda, na eneo la usaili kama ilivyoelekezwa na kamati ya maandalizi. Ni muhimu kufika kwa wakati ili kuepuka usumbufu na kuhakikisha mchakato wa usaili unafanyika kwa ufanisi



Previous Post Next Post
banner
×

Contact Us