FOMU: Usajili wa Waandishi wa Maudhui Mtandaoni

Usajili wa Waandishi wa Maudhui Mtandaoni Tanzania

Je, wewe ni blogger, mtayarishaji wa maudhui au unatoa elimu kupitia mitandao ya kijamii? Hii ni fursa rasmi ya kujisajili na kutambulika kisheria kama mwandishi wa maudhui mtandaoni nchini Tanzania.

Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa fomu rasmi ya usajili wa waandishi wa maudhui mtandaoni.

Pakua Fomu ya Usajili

Maelekezo Baada ya Kujaza Fomu

  • Tuma kupitia barua pepe: maudhui@michezo.go.tz
  • Ukubwa wa faili usizidi 5MB
  • Taarifa zaidi: www.michezo.go.tz

Usajili huu ni muhimu kwa bloggers, YouTubers, wanahabari wa mtandaoni na watayarishaji wa maudhui ya elimu na habari.

#SmartEducation #BloggersTZ #MaudhuiMtandaoni #UsajiliWaWaandishi

Post a Comment

Tafadhali Tuambie kupitia hapa

Previous Post Next Post

Featured Post

Smart Education Tanzania