Vitabu vya TIE Books Darasa la Tano (Standard Five) – New Syllabus
Vitabu vya TIE Books Darasa la Tano vimeandaliwa kwa mujibu wa Mtaala Mpya wa Elimu (New Curriculum) na vilitolewa rasmi mwezi Mei 2025.
Hii ni taarifa muhimu kwa Walimu wa Shule za Msingi, hasa walimu wa Darasa la Tano 2026, kwani wao ndio watakuwa wa kwanza kuanza kufundisha kwa kutumia mtaala huu mpya.
Jinsi ya Kudownload TIE Books Darasa la Tano (New Syllabus)
- Ingia kwenye TIE Library
- Create Account kama ni mara yako ya kwanza
- Tafuta Primary School → Standard Five
- Chagua somo unalotaka na pakua
Orodha ya Vitabu vya TIE Darasa la Tano
📌 Endelea kufuatilia Smart Education Tanzania kwa vitabu, mitihani, na nyenzo zote muhimu za elimu.