MATOKEO YAMETANGAZWA
NECTA RESULTS FOR STD IV | Matokeo ya Darasa la Nne SFNA 2025/2026
Matokeo ya Darasa la Nne (SFNA) 2025/2026 yametangazwa rasmi na NECTA. Wazazi na walezi sasa wanaweza kuangalia matokeo ya Standard Four kwa wanafunzi walioufanya mtihani wa taifa mwezi Oktoba 2025.
Taarifa Muhimu: Matokeo ya SFNA 2025/2026 yanapatikana rasmi kupitia tovuti ya NECTA.
What to do after SFNA results announcement?
- Hakiki matokeo ya mwanafunzi
- Thibitisha ufaulu wa kuendelea Darasa la Tano
- Tambua maeneo yanayohitaji kuboreshwa
Hatua baada ya kuangalia Matokeo ya Darasa la Nne
- Fika mapema shuleni kwa maelekezo ya muhula mpya
- Pokea taarifa za kuanza masomo
- Andaa mahitaji ya mwanafunzi
Jinsi ya kuangalia Matokeo ya Darasa la Nne SFNA 2025/2026
- Tembelea tovuti rasmi ya NECTA
- Bonyeza menyu (alama ya nukta tatu)
- Chagua Results → SFNA
- Chagua mwaka husika na uangalie matokeo
TANGAZO
Tafadhali subiri kidogo ili kuendelea kwenye matokeo
Inaendelea baada ya sekunde 5