Vitabu vya TIE Darasa la Saba (Standard Seven) PDF – Mtaala Mpya Tanzania
Hapa utapata vitabu vya Darasa la Saba (Standard Seven) vinavyotolewa na Tanzania Institute of Education (TIE) kulingana na mtaala mpya wa elimu Tanzania. Vitabu hivi vinatumika rasmi mashuleni na vinafaa kwa wanafunzi, walimu na wazazi.
Vitabu vyote vipo katika mfumo wa PDF na vinaweza kusomwa kwenye simu, tablet au kompyuta. Pia vinaweza kupakuliwa kwa matumizi ya kujisomea wakati wowote.
Orodha ya Vitabu vya Darasa la Saba
- Science and Technology
- Mathematics
- English Language
- Kiswahili
- Social Studies
- Civic and Moral Education
- Vocational Skills
- French Language
Vitabu hivi vinasaidia wanafunzi kujifunza kwa ufanisi zaidi na kuelewa mada mbalimbali zilizopo kwenye mtaala wa elimu ya msingi Tanzania.
Pakua Vitabu (PDF)
Maelezo Muhimu
- Vitabu hivi ni kwa matumizi ya elimu pekee
- Vinatolewa na TIE Tanzania chini ya mtaala rasmi
- Vinatumika kwa kujifunza shuleni na nyumbani
Endelea kufuatilia Smart Education Tanzania kwa vitabu, mitihani, notes na taarifa muhimu za elimu nchini Tanzania.

Tafadhali Tuambie kupitia hapa