MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA – CHEMISTRY IIIB & IIIC (TEACHERS)

MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA – CHEMISTRY IIIB & IIIC (TEACHERS)

Mamlaka ya Ajira kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza rasmi matokeo ya usaili wa kuandika kwa kada ya Ualimu wa Somo la Chemistry – Daraja la IIIB na IIIC.

Usaili huu ni sehemu ya mchakato wa ajira kwa walimu wa sayansi, ambapo waombaji wenye sifa stahiki wamechujwa ili kuendelea na hatua zinazofuata.


📌 KADA ZILIZOHUSIKA

  • Chemistry IIIB – Teacher
  • Chemistry IIIC – Teacher

📌 MAELEZO YA MATOKEO

Waombaji waliopata alama zinazokidhi vigezo vilivyowekwa na waajiri wamefanikiwa kufaulu usaili wa kuandika. Orodha ya majina ya waliopita imetolewa rasmi kupitia tovuti ya Ajira.

📌 PAKUA MATOKEO HAPA CHINI

Bonyeza link husika kulingana na kada uliyomba:

Kumbuka: Hakikisha unakagua jina lako, namba ya usajili, na kada uliyomba kwa umakini mkubwa.


⚠️ MUHIMU KWA WAOMBAJI

  • Waliofaulu wanapaswa kujiandaa kwa hatua inayofuata (Interview au Placement).
  • Endelea kufuatilia matangazo rasmi kupitia Ajira Portal.
  • Epuka taarifa za upotoshaji kutoka vyanzo visivyo rasmi.

🔔 Usikose taarifa muhimu:
✔ Ajira za Walimu
✔ Matokeo ya Usaili
✔ Interview & Placement Updates

Tunawatakia kila la heri wote mliofaulu! 🎉


Post a Comment

Tafadhali Tuambie kupitia hapa

Previous Post Next Post

Featured Post

Smart Education Tanzania