TANGAZO LA NAFASI YA KAZI – STATIONERY
Ofisi ya Stationery iliyopo Arusha (HOPE STATIONARY) inatangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye sifa stahiki kujaza nafasi ifuatayo:
Nafasi ya Kazi
- Cheo: Mfanyakazi wa Stationery
- Mahali pa Kazi: Arusha
Sifa za Mwombaji
- Awe na umri kati ya miaka 22 – 35
- Awe mchapakazi, mwaminifu na mwenye maadili mema
- Awe na ujuzi wa kompyuta, hususan matumizi ya Microsoft Word na Microsoft Excel
- Awe Mkristo mwenye maadili mema
Sifa za Ziada
- Mwenye cheti cha mafunzo husika atapewa kipaumbele
- Jinsia ya kike atapewa kipaumbele
- Msabato atapewa kipaumbele
Mshahara
Makubaliano
Chakula na Makazi
Vitagharamiwa kwa mwezi mmoja wa mwanzo
Jinsi ya Kuomba
Kwa maelezo zaidi au kuwasilisha maombi, tafadhali wasiliana kupitia namba ifuatayo:
Simu: 0629 859 421
Deadline ya Maombi: 15/03/2026
Endelea kutembelea Smart Education kwa taarifa zaidi za ajira, fursa za masomo na matangazo muhimu.

Post a Comment
Tafadhali Tuambie kupitia hapa