Waliochaguliwa VETA Awamu ya Pili 2026 (Second Selection) – Pakua Majina PDF

Mr.Izow
0
VETA Second Selection 2026

Waliochaguliwa VETA Awamu ya Pili 2026

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetangaza rasmi orodha ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kwa mwaka 2026 katika awamu ya pili (Second Selection).

Waombaji waliochaguliwa wanatakiwa kufuata maelekezo ya kujiunga (Joining Instructions) yaliyotolewa na vyuo husika ili kukamilisha usajili wao kwa wakati.

Jinsi ya Kuangalia Majina

  • Tembelea tovuti rasmi ya VETA: www.veta.go.tz
  • Au tembelea chuo cha VETA kilichokuchagua

📅 Tarehe ya Mwisho ya Kuripoti: 24 Februari 2026
📚 Masomo Yataanza: 25 Februari 2026

Waombaji wote waliochaguliwa wanashauriwa kuripoti katika vyuo walivyopangiwa ndani ya muda uliopangwa ili kuepuka kupoteza nafasi zao.

Pata taarifa zaidi za elimu:

Jiunge na WhatsApp Channel ya Smart Education kwa updates za selections, ajira na matokeo.

Jiunge hapa

Chapisha Maoni

0 Maoni

Tafadhali Tuambie kupitia hapa

Chapisha Maoni (0)
3/related/default