UTUMISHI: Wito wa Kufanya Usaili 2025 | Check Majina, Tarehe na Vituo vya Usaili

 Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (UTUMISHI) imetoa Wito wa Kufanya Usaili 2025 kwa waombaji wote walioomba ajira kupitia Ajira Portal. Tangazo hili linahusu walioitwa kwenye usaili, tarehe, vituo pamoja na maelekezo muhimu ya kufuata kabla ya siku ya usaili.


Mambo Muhimu Katika Wito wa Usaili UTUMISHI 2025

Kupitia akaunti yako ya Ajira Portal, utaweza kuona:

  • Majina ya walioitwa kwenye usaili 2025
  • Tarehe rasmi za kufanya usaili
  • Vituo vya kufanyia usaili
  • Nyaraka zinazotakiwa katika usaili
  • Maelekezo ya muhimu kabla ya kufika kwenye kituo

Tangazo hili linahusu nafasi mbalimbali za ajira serikalini zilizotangazwa na UTUMISHI katika mwaka 2025

FUATILIA TAARIFA MBALI MBALI ZA USAILI NA AJIRA KWENYE WHATSAPP KIRAHISI BOFYA HAPA

Previous Post Next Post

نموذج الاتصال