Mtihani wa Online wa Usaili wa Walimu – Mfumo wa Mazoezi ya Interview Smart Education

Mr.Izow
0
Online Interview Practice Tanzania

Mtihani wa Mazoezi ya Usaili wa Walimu (Online Interview Practice)

Karibu kwenye mfumo wa mazoezi ya usaili wa walimu. Huu ni mtihani wa majaribio uliotengenezwa kukusaidia kuelewa aina ya maswali yanayoulizwa katika usaili wa kada ya ualimu.

Mfumo huu unalenga kuwasaidia waombaji kujiandaa vizuri kabla ya usaili rasmi wa kazi.

Maelekezo Muhimu:
  • Andika jina lako kwa usahihi.
  • Andika namba ya usaili bila alama maalum.
  • Fanya mtihani kwa umakini kama usaili halisi.

Chapisha Maoni

0 Maoni

Tafadhali Tuambie kupitia hapa

Chapisha Maoni (0)
3/related/default