Matokeo ya Darasa la Saba 2025 (PSLE)
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) linatarajia kutangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba 2025 (PSLE) hivi karibuni.
Kwa sasa matokeo bado hayajatoka rasmi. Endelea kuwa nasi kupitia tovuti yetu Smart Education kwa taarifa sahihi pindi yatakapotangazwa na NECTA.
Chanzo rasmi: NECTA Tanzania
